Adhimisho la Misa Takatifu Shukrani na Ukarimu Siku ya Kwanza | Watawa, watch the full vido on youtube: "https://youtu.be/IwNZKyJd6eg"
Mada Shukrani na Ukarimu Siku ya Tatu | Vyama vya Kitume vya Karama | Wazee | Wastaafu. Full video on youtube "https://youtu.be/1BypB6AqThU"
Misa hii ya Shukrani na Ukarimu ilifanyika katika siku ya tano ya mkutano wa VIWAWA na SCOUT, ikilenga kumshukuru Mungu kwa umoja na mshikamano kati ya vijana wa Kanisa. Vijana walishiriki kwa uchaji katika ibada hii takatifu, wakipokea maneno ya faraja na motisha kutoka kwa viongozi wa Kanisa ili kuendelea kuishi maisha ya ukarimu, utumishi, na kuwa mashahidi wa imani ya Kikristo katika jamii.
Homilia ya Pd. Titus Amigu WAWATA Wakitegemeza Nyegezi Seminari, full video on youtube "https://youtu.be/mPlv0bvGVOg"
Misa Takatifu ya Upadrisho | Parokia ya Mtakatifu Joseph Sumve | Jimbo Kuu la Mwanza
Neno la Makamu mkuu wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini Tanzania, PD.CAMILUS BAJUTA OFMCap
Misa Takatifu ya Kuhitimisha Semina ya Mafrateli wa Mwaka wa Kichungaji Kanda ya Mwanza
WAWATA Parokia ya Bwiru wachangia Million 27, Ujenzi wa Kanisa - Bwiru "WAWATA DAY"
MAPOKEZI NYANG'HINGI | Askofu Simon Chibuga Masondole | Askofu Mkuu Renatus Leonard Nkwande